

Naskia ulizaliwa nineteen
But umetufuata Hadi twenty.
Najua Una makali
Lakini tutashinda hii Hali.So,
Niaje Corona,naskia we ndio killer
Naskia unatuhanda kaa horror,hutambui ata kaa ni sinners,
Na si ati hii ni movie, bado ni thriller
Unatupeleka mbio design inakaa last dinner
Nikama basi ya kutubeba haina masaa
Unatufagia na speed ya star
Tunatamani Tu hii Giza iishe.Juu enyewe bila mwanga hatuwezi ona
Hii Giza imefanya hatuwezi shake hands
Juu every single touch leaves the clock ticking
Na every touch nikama kustick tick Kwa binadamu
So still nawish hii Giza iishe ndo atleast tupunge hii appetiteHii hamu ya kushika bila kuogopa kushikwaHii hamu ya kupenda bila kuogopa kutendwa
Juu kila mtu anajipenda na kujitenga juu bei ya life imepanda
Imepanda design sabuni na maji imepanda
Imepanda design bei ya gari zimepanda
Imepanda design kuenda church inaequal jailterm
So still nawish hii Giza iishe.Hii Giza iishe ndio atleast nipate lift ya politician
Iishe ndo tushare plates na street kids
Iishe ndo atleast nikule mbao Kwa mbao ya mtura
Iishe,yaani Hadi hatuwezi jishika uso zetu na mikono zetu.So Corona,tunajua vizuri wee si homa
Hata na maji Moto huwezi koma
Tunaelewa vizuri hatuwezi kukuhata bila unity
So please Kenyans,ukiwa infected usipande mat
Tafuta ambulance hata Ka we si maiti
Ukiwa infected usitumie marikiti,matikiti, hata na dooh
Kumbuka si wote tunatumia bank but inabidi tukuwe cooperative.#washyourhands
#sanitize
#coronaviruskenya
#Covid19