

Niko hapa niki-wonder
Nashinda niki-ponder
Zile vitu nilitenda
Nilizifanya kwa kupenda
Nilikuwa na choice ya kufanya otherwise
But nilichoose kutokuwa m-wise
Nilimpatia moyo akau-slice
Na vile nili-ignore hizo ma-advice!
Hii pain nafeel ni greater
Sijui niende club niambie waiter
Mhudumu ongeza glasi mimi ni writer
Nimwambie nisha-loose Mimi Si fighter
Maze kwa life nimeona mengi sana
Nimekua nikidhani tutaoana
But alinicheza ka sanaa
Akanikatisha tamaa
Kwa ground vitu ni different
Huyu ni mtu nlikua nalipia rent
Mpesa inabaki na cents
Nlifanya everything siwezi account
Wanasema no pain no gain
Na-pain juu nime-gain stains
Ni stains juu heart ime-bleed again
Hakukua na side chick alikua main
Najuta juu sikutumia brain
Naumia mbaya
Nlimpea kila kitu ali-require
Sahii naona haya
Sasa back to drawing board nichore square.@MayakaPoetryThe Passionate Pursuit Of Poetry
Subscribe to get the latest posts sent to your email.