

Where is your senses?
We got children together
But you went away
You promised to come back from town
When I calls you , you declines my calls
You don’t text me back
You left me with our children
5 years are over now
You have never returned
Is that you got married again?
Kwani nilikukosea wapi?
Ni kosa gani nilikufanyia ukaninyamazia?
Ni kosa gani nilifanya ukatoroka nyumbani?
Nyumbani nimebaki na watoto wetu
Sina kazi,wala chakula cha kulisha watoto wetu
Nimekuwa maskini ombaomba
Nisamehe na urudi nyumbani tulee watoto wetu wenye hawana makosa
Huzuni moyoni ,kwani nateseka kulea watoto
Lishe hakuna, mavazi hakuna, malazi hakuna
Maskini mimi
Subscribe to get the latest posts sent to your email.