
Unajua nimekua nikijiuliza,
Ni aje dem analipishwa pads,ilhali boychild anachezacheza na condom.
Ni aje,wanawake wanapitia wanaume ili wapate job,
Ni aje, mabachelor wanatoa more ili wawahi job ziko na dooh,
Ni aje,tajiri atalipa mamillioni ili aweke punda chuo,
Na kuna stude wa maskini anamsafishia Choo,
Ni aje,madem wanapaka marangi ili waimpress wazee,
Ni aje,Mimi hapa Naspit Kwa bidii lakini sipati support ya wasee,
Ni aje!
Nauliza Balance iko wapi even though nimevaa new balance,
Niaje nashindwa mbio na Mike nikiwa na nike,
Ni aje,niko na degree na natembeza mtumba,
Macertificate zikicheza rhumba Kwa ofisi…
Ni aje!
Me natetea equality manzee,
Me nasimamia ukweli manzee,
Me naongelea logic,
So,Ni aje!
Raise your heads up,
Niwapee majibu before nishut up…
In this life nililearn kitu moja,
Binadamu wote wanajipenda,
Na bado,wote ni jealous,
So don’t expect mercy from your master,
Don’t expect space where your presence speaks disaster,
Don’t expect logic kila pahali juu binadamu ni wild,
So live freely hapa Kwa dunia,
Usiminind ata kama unalalia gunia,
Live freely,
One day, keep hoping,
One day, milango zitakufungukia,
Na watacome, knocking!
Subscribe to get the latest posts sent to your email.