Ukiachwa Achika

Wanasema Ukiachwa achika
How do I explain this?
Maze sometimes ni hard Ku let go
Of the only thing that gives you joy
Skiza I tried to go out kusaka greener pasture
But I realized alikuwa much better
Sii wanasema heri the devil u know….
So I didnt wanna look for another angel
Trust me ilinipa insomnia nights
Juu aliinitenda Mara kadhaa
Though bado aliomba msamaha
So juu everybody deserves another chance
Tulirudiana more than trice
But ukweli ni, Love ilishadie
Sijui Kama I was forcing it
Lakini…
Ukweli ni patching things we tried
But moving on was a better option
Nilidhani Ku stay ingerevive what we lost
But things were getting messier
Nothing seemed cosier
Surprisingly
Bado alirudia makosa yale yale
Labda ilikuwa nikunihurumia tu
Juu niliishinda nikiumia
Kila time alinisho anaishia
Sikutaka kufikiria
Hata kumuachilia
Later on
I realized
That letting go was the real deal
So nilipack my staff
Nkaleft na sasa ako happy na yule
Nashindwa kwani hakuwahi nifikiria
Haikuwa true love
Labda I kissed another frog
But ni sawa haidhuru
Kusonga mbele kaa injili muhimu
So acha nkubali
That ukishaachwa achika
Juu after all
Akufukuzaye hakuambia toka
Just read the signs
Juu staying stuck hurts
There’s peace in lettin go than staying in pain
# Kerry boo? ©️2020


Discover more from Osprey Empire

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

About the Author

Leave a Reply

You may also like these

No Related Post

error: Content is protected !!

Discover more from Osprey Empire

Subscribe now to keep reading and get access to the full archive.

Continue reading