MIH NIKO HIVYO

Mimi ni mlevi,
Usinione hivi,
But sio wapombe,
C ata maghufuli anaitwa pombe,
Na yy sio mlevi,
Au sio,
Yes natumia coke,
Na sio cola,

Am an addict,
Nasiwezi quit,
Nishakua mwizi,
Kwenye hizi enzi,
Sipati ata mwezi,
I steal to get drugs,
But still am in rags,
Na Doo napata hazitoshi,
Nishakua soshi,
But sio was doshi,

Lakini msinijudge,
Not at my age,
Siyuko kwa edge,
Najua nitachange,
One day jua litachomoza,
And jua I will be a different person,

At the moment, acha nijimbambe,
No need ya kubuy Bamba,
Sunday nikiskiza kumbamba,
Monday nishikishe na kishada,
Tuesday nisomee shahada,
Wednesday nitry kuimba,
Thursday niskize tbt za waganda,
Friday nikujimbamba,
Sato nikapeane mimba,

Am sorry Niko hivyo,
Usi worry, ata hivyo,
Nita marry, kwa hivyo,
My future is covered,
Nishakua motivated,
Usitry Kuni advice,

Bytha Niko na Bluetooth device,
Ya kuskizanga vice,
Nanitawaekea ata skiza,
Cha muhimu usinijoin,
Hii war ningumu,
Nikama wall ngumu,
Avoid coke joohh,
Mih Niko hivyo

About the Author

Leave a Reply

You may also like these

No Related Post

error: Content is protected !!

Discover more from Osprey Empire

Subscribe now to keep reading and get access to the full archive.

Continue reading