SIKUPENDI

Kumbe wanaume pia hutumiwa
Kama vile watu hukula miwa
Na kutupa maganda
The idea of you inakua propaganda
Nliambiwa move on sikupendi
Nakumbuka akisema “ kwa mwingine siendi”
Alinidrive crazy
Mkisii angekuambia
Kweli “oyo no’mogendi”
But kama Bien na Nviiri niko sawa
Nlifly si ulinipa mabawa
But haturudiani hata kwa madawa
Nlifunguka macho kwa giza bila Kenya-power
Nlikua nakuona na-go crazy
Akili inachoka inakua lazy
Kumbe ulikua somewhere busy
Nlidhani I’m a one man army
Kumbe kulikua na commander of the army
Ana-kill hiyo kitu
Ulikua paid to be laid
Kwangu ilikua null and void
But singeweza ku-nullify
There wasn’t any rigged elections
Ulikua una-explore all options
So sad she ended me with a text??

Bye MayakaPoetry

About the Author

You may also like these

No Related Post

error: Content is protected !!

Discover more from Osprey Empire

Subscribe now to keep reading and get access to the full archive.

Continue reading