

Maze niko kwa hii mess
Yenye imeni-stress in excess
For long ufisi umekua ni success
But umeniacha na loss na kuni-diss
Maze ufisi umenipeleka class
Na kusema checkmate ni kama tunacheza chess
I wish ningetumia condom
At 17 soon ataitwa mom
Now my face is gloomy
But mbona sikungoja niitwe groom?
Kama angekua anatumia contraceptives
Myb tungejipanga b4 the baby arrives
But tulijipeleka kwa beehive
Na hizo nyuki hazikubehave!
Soon Mimi ni parent
Sijui ka ntacope kwa hiyo environment
Na vile nastruggle kulipa rent
Na nimesota Mpesa iko na cents
Naenda court na hakuna wa kuniongelea
Sijui vile wazazi watafikiria
I think wataniacha nikilia
Inauma but nitazoea!
@MayakaPoetry