

Why? Why? Why her?
She was raised by her parents well
Her parents loved her very much
She was taken to school
The only hope for her parents
Now she’s no more
Alikuwa mtoto wa pekee katika hiyo familia changa
Sasa wazazi wameachwa katika huzuni
Hawajui la kufanya
Kijiji kizima kimeachwa katika huzuni
Wanaomboleza kifo cha mtoto mdogo
Mtoto hasiye na hatia
Swali ni je , Nani kanajisi huyu msichana?
Mwili wake umepatikana umetupwa kando ya mto
Uso wake umejawa na majeraha
Sehemu za siri zikona majeraha
Wazazi wake wanalia usiku kucha
Mtoto wao wa pekee amenajisiwa na kuawa
Je wazazi wake watapata haki?
Waliosababisha kitendo hicho cha kinyama watakamatwa na kutiwa baroni?
Ni huzuni tu
No Related Post