

I wish mapenzi yangekua dawa
Niekewe kwa damu na syringe
But I guess fantasy yangu haiko sawa
So nataka nihost wife material challenge
Ubaya ni sijaomoka kama Erick omondi
Hakutakua na contestants Juu sipendwi
Sikuizi kiplani madem ni magondi
Bila pesa out hawaendi
So niliomba a way out
Juu naona blackout
Hivi ndio nliambiwa
Kama tunakunywa maziwa
“Before the challenge enda gym
Unda muscle tembea bila shati
Before the challenge ensure uko na achievement
Before the challenge kuwa na mbogi
Before the challenge lazima roho ikue imevunjwa
Before the challenge make sure uko famous
Usibebe banner imeandikwa in need of a wife
Contestants wakue in all slices
Yaani Ile ya Juu katikati na chini
Kukue na wenye ni crazy na kichwa ngumu
Wenye ni humble na loyal
Wenye ni romantic na wako na accent
Kukue na diversity
Na wakue wameenda University
Finally chagua mmoja”
Sijui nifwate hii advice
No Related Post