MY FIRST TIME

Nilikuwa panty dropper,
Na hiyo ikawa ni lust career,
Something singegive up,
Hata galdem akuwe jua ya Macha,
Coz nilikuwa hooked kwa game,
Design ya ufagio na surface,
Na ni hivo nikaskip machances,
Za kuwa booked na malkia.

First day nilimwona,
Urembo wake ukatuwakia,
Kila mtu tongues wagging,
Na jeshi ikakubali,
Ikabidi tukaekeleana bet,
Na lazima mmoja angewin,
Coz yetu ilikuwa ni game,
Na hit and run ndo ilikuwa title.

From the first minute nilimtaka,
So nikacheza league ya kwanza,
Knowing whatever it takes,
Alikuwa mine and mine alone,
Lakini jeshi haingejua hiyo.
So Kiatu nikatembeza,
Squad ikuchunguza from a distance,
Advantage ya squad ya wazii.

Dem nikamlisha vybz toka heart square,
But nilijua hakuwa na option,
Coz ilikuwa anikubali, ama anikubali,
Leo ama kesho, future yangu ilikuwa yake,
Na ni hivo akanikataa, once, twice, thrice,
Ego iliyeyuka, moyo ikafurahi na jeshi ikicheka,
So akawa ni challenge, na nikaikubali hearts open,
Coz brain yangu ilipotelea ass na heart ikawa brain,
Makosa ambayo naifurahia Leo.

So for the first time nikafall,
Na dem nilifallia,
Hakuwa property wa others wallah,
Coz hiyo ingekuwa love triangle sikupanga.
Siku thatefae nikamkimbiza,
Na siku thatefae akanikataa,
Only that hizo siku zote,
Huyu kichuna nilimpenda.

Mama alishinda akiniwarn mapenzi,
Lakini mimi na ego yangu hatukumskiza,
I mean ukicheki looks zangu msee,
Kuna tu vitu hazingemek.
Lakini haikuwa stori ya ego,
Ju huyu mrembo alikuwa endgame,
Na ego ilishayeyuka, options zikaisha,
All except kugive up.

Aliponikubali kiplani,
Hallelujah ikawa wimbo,
Coz hii p#$$¥ ilikuwa mine kushindia,
So amen ikawa chorus,
Na God akawa reference point,
Something squad haingejua,
Ju huyu alikuwa choice ya heartbeat,
Na privacy yake ilikuwa open field kwangu,
The moment alisema yes,
Only sijui kama niko na shit private,
Labda yeye angekuwa my very first,
Though I had very little of those.

About the Author

You may also like these

error: Content is protected !!

Discover more from Osprey Empire

Subscribe now to keep reading and get access to the full archive.

Continue reading