

I remember very well
The way alinionyesha mapenzi
Siku za kwanza kujuana naye pale FB
Alicomment kwa posts zangu FB
Vilevile nikalike na kucomment zake
Mara that that inbox pap!
She was very beautiful girl
She looked innocent
Hips zake ziliweza
Kiuno shape ya caterpillar
Tuliongea mpaka tukaechange numbers
Tulipanga date ya week mbili
Tukakodisha chumba katika hoteli moja ya kifahari
Sikujua nia yake ni gani
Kwani aliniroga na mapenzi
Sijui Nini ilifanyika
Nilishtukia nishampea accounts zangu za pesa pamoja na passwords
Sikujua usingizi ulitoka wapi,nilijipata katika usingizi wa pono
Kuamka nilijipata uchi wa mnyama sakafuni, Tena usiku wa manane
Mwenye niliona amenipenda keshapotea
Simu yangu ilikuwa juu ya kitanda Kama imezimwa
Kuifungua , Mpesa messages nilikutana nazo
Wah! Wah! 70,000 /- zilizokuwa kwa mpesa zishatolewa
Kijasho chembamba kilitiririka, hasira zikanipanda
ATM card yangu haikuwa Tena,ilivunjwa Mara mbili
Pesa nilizokuwa nimeziifadhi hazikuweko Tena
Huo ndio ulikuwa mwisho wa utajiri wangu
Niliachwa maskini hohe hahe
I regret why I disclosed my accounts to that stranger
She blocked me in very social media,Tena mteja hapatikani
Woooi woooi woooi
Pesa zenye niliweka za kununua kichaka zishakwenda
Maskini mimi
Masaibu yaliniandama
Kazi nikafutwa kwa kuchelewa kufika
Sina mbele wala nyuma ,umaskini umenikaribisha
Bona nilipenda mwizi
Aki surely nitafanya aje
Kilio nimelia
Machozi nimetoa
Moyoni nimehuzunika
©Januaris Musyoka
No Related Post