All strength and power starts with a woman
They say for every successful man
There is a woman behind
Loving mama raises her children with or without money
She doesn’t discriminate her children
She knows how to judge
When conflicts arise within the family
The mama solves peacefully
The love of mother is very big
A woman is like an umbrella
She protects everyone in the family
Kama Mimi venye najua
Hakuna binadamu mwenye huruma Kama mwanamke
Wanaume wengi ulewa chakari
Na kujikojolea vilivyo
Lakini wake zao wanajitolea na kusafisha mkojo
Wanaume wengine wanalewa na kulala kwenye mitaro
Lakini wake zao uchukua jukumu la kuwaokota na kuwarudisha nyumbani
Mwanamke anahakikisha familia yake haijalala njaa
Mtungi kwenye mgongo anabeba Kama punda lakini anavumilia tu
Mtoto akigonjeka anamshughulikia kumpeleka hospitali kwa matibabu
Let’s respect the power of women
Subscribe to get the latest posts sent to your email.