

Kutoka Ile day,
The night i tasted your lips,
Nimekuwa na weird crazy cravings btw,
I can’t go a day without chips.
They are so sweet and warm,just like you.
Na siwezi kaa a day without the feeling.
When you are not around,
It’s the only one that gets me happy and smiling.
I see shapes kila siku hapa nje,
But yenye hublink kwa macho ni yako tu.
Na even though wao hunicharge thao tatu,
Sijawahi regret spendings on you, ata kama ni finje.
Time na wewe ni timeless,
Juu time hupita ikienda,
But sisi hubaki firm kama fortress,
Siwezi kuwa shared kama xender,
Ata kama wao at times hunipush kublanda.
I always stay still by you, my mistress.
I’m filled with desire,
Passion kubwa sana ya kukumarry.
Nilishakupenda,tena bila haya,
Na siwezi ngoja kuwapelekea pia mahari,
Umelight up sana life yangu,
My only and one token.
Staying in darkness ni kama life Bila wewe,
Haiwezi make…We ni heights na mm ndio mwewe.
We stay together.?
No Related Post