

Talk to me about you
Juu siku hizi me sikuelewi
Yaani umekuwa mkali kama dawa ya maasai
Kila kitu me husema inapoeshwa kaa chai
Najua at times me humess,sikatai
Lakini design we huact, afadhali mangwai
Juzi nimekushow sina maneno
Kiasi kiasi ukasema Niko na kiherehere za kartelo
Nashikisha za mbao
Alafu naleta Stori haziko
Juu enyewe haziko
Me matym huimagine vile Mapastor huishi
Juu nikama umewabebea memory
Me hupata injili Hadi Kwa kitanda
Maybe ndo maana nimepungua inch mbili.
Anyway Jana me nliota nimekupoteza
Yaani nilibet na wewe kisportpesa.