

Ushawai nusa hii harifu ya shada?
Nliskia kwa song “ naskia harufu ya kishada”
Nikakaa curious kujua nini harufu ya shada
So nlikutana na huyu dada
Alikua karibu kumada “ibada”
Alikua akiimba song ya Breedar
Sahii naikunywa ni kama niko na stashahada
Maze bila hii harufu sili breakfast
Ikiwa nakaa silly niki-break anything fast
Bila hii harufu sifikirii
Sifikirii hata ule Bree
Since nikue high school
Nimeshinda nikiwa high
But sijui how high
Ukiniuliza Hi?
Hii harufu imepigwa marufuku
Imenifanya ni-change channel kwa wall bila zuku
Imefanya sina doo kwa mfuko
Naezeingia kwa hiyo shimo ya fuko
Angalau 4.20 isinipite
Niko campus 4.2 so niiete
Nakuaga na nare hata kama ni nite
Ama ngware bila mtu kwa sight
Mchana utanipata kwa kichaka
Nikiwasha na zimenishika
Hii harufu sijui vile ntaiacha
Huwa naibugia hapo lake chacha
Kidogo zinaanza kunichocha
Nadhani niko home ocha
Kitu inaniambia stop
But hiyo feeling ndio ina-pop up
Huwa nafeel good in my black hoodie
Kweli naezekuwa Normal?
For once niende shopping mall
Ama bila shada niende exam hall?
I’m tayad na hii addition
Kuna vile I need a petition
Niache hii story in repetition
Nisikue blown kwa hii situation.
MAYAKAPOETRY KE
THE PASSIONATE PURSUIT OF POETRY
No Related Post