

Kila nkiamka tu pesa… Pesa… Pesa!
It’s morning, hakuna andazi
It’s boiling, hakuna majani
Nikifika tu kwa Duka, pesa!
Kila nikitoka tu pesa… Pesa… Pesa!
It’s not black, kiatu haijang’ara
Am getting late, nimezubaa na sara
Nikifika stage makanga, pesa!
Kila tu jua likiwaka… Pesa… Pesa… Pesa!
It’s afternoon, nahisi njaa
Am starving, laini imejaa!
Lakini Nikifika tu hoteli, pesa!
Kila tu nikiumia… Pesa… Pesa… Pesa!
It’s really hard, kazi ni ngumu
It’s my stomach, labda ni sumu
Lakini nikifika tu hospitali, pesa!
Kila nikimtafuta… Pesa… Pesa… Pesa!
I need to see her, tuma pesa
She need clothes, tuma pesa
Nikifika tu nyumbani, pesa!
Kila nkilala usiku… Pesa… Pesa… Pesa!
Am thinking of tomorrow, hakuna pesa
I need to make ends meet, hakuna pesa
Kila tu nikifikiria, pesa!
Nitafanyaje ikiwa Hali ndio hii
Na mke hata wakwe zangu hawasikii
Wanangu Shuleni wametia bidii
Lakini, nitatoapi pesa hii!